LYRICS: Diamond Platnumz ft. Fally Ipupa – Inama

lyrics

Diamond Platnumz ft Fally Ipupa Inama Lyrics

DOWNLOAD AUDIO

  Diamond Platnumz

  Ayolizer

  Kukudekeza kama mtoto
  Furaha unafurahia
  Unapogeuka moto
  Machozi unalia

  Mwembamba mwenene
  Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
  Penzi halijali umasikini
  Laweza penda mtu yoyote

  Penzi sio somo
  Ukasome kwa kitabu
  Penzi limefanya Harmonize
  Afukuzishe mwarabu

  Penzi oyoyo,
  Limeleta kwa wanangu vita
  Siku hizi siwaoni
  Naishia kuwalike Insta

  Hivo asiyekupenda
  Achana naye
  Anayekupenda
  Pendana naye

  Mambo stress
  Ya nyumba ndani
  Ebu cheza ufurahi
  Kama songi limekolea

  Asa inama
  Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo)
  Oya inama(inama beiby)
  Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo)

  Asa inama(inama beiby)
  Ebu pinda mgongo
  Kama tungi limepoza
  Oya inama basi pinda mgongo

  Fally Ipupa

  Asa inama
  Ebu pinda mgongo(nakupinda mgongo)
  Oya inama basi pinda mgongo

  Asa inama
  Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
  Oya inama basi pinda mgongo

  Asa nionyeshe unanyonga je
  Nyonga, nyonga kibasikeli
  Nyonga kaa kibasikeli
  Nyonga kama kibasikeli

  Ah kiuno kifanye pedeli
  Nyonga, nyonga kibasikeli
  Nyonga kaa kibasikeli
  Nyonga kama kibasikeli

  Ah nyonga, na kupinda mgongo
  Nyonga, nyonga kibasikeli
  Nyonga kaa kibasikeli
  Nyonga kama kibasikeli

  Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
  Analishare lishare
  Analishare lishare(analilili)
  Analishare lishare

  Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
  Analishare lishare(yuko bwi)
  Analishare lishare(silali)
  Analishare lishare(oooh)

  Yeah Samuel Etoo
  Didier Drogba
  Wasafi
  Fally Ipupa, the boss
  Tozali kolo, wakokokate(Kokate)

CHECK THIS OUT  LYRICS: Naira Marley – Soapy

Leave a Reply